Utamaduni unaweza kufaa Tanzania kwa mapato?

Haba na Haba wiki hii inaangazia utamaduni unavyoweza kuingiza mafao kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja au hata taifa.