Utamaduni unaweza kufaa Tanzania kwa mapato?

Maelezo ya sauti, Utamaduni unaweza kufaa Tanzania kwa mapato?

Haba na Haba wiki hii inaangazia utamaduni unavyoweza kuingiza mafao kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja au hata taifa.