Mende anayechora apata umaarufu mitandaoni

Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia