Mende anayechora apata umaarufu mitandaoni

Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia

Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Mende huyo alipata umaarufu mitandaoni wakai picha za michoro yake zilisambaa katika mtandoa wa Twitter
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Akiwa na kalamu zenye rangi mende huyo aliweza kuchora michoro tofauti
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Michoro hiyo imewavutia wengi mitandaoni na hata kusababisha kutangazwa kuuzwa kupitia Ebay
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Mende wa aina hii ni maarufu miongoni mwa watoto chini Japan
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Mende hawa ni kati wa wadudu wenye nguvu nyingi zaidi duniani
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Mdudu huyu na uwezo wa kupanda ukuta na pia anatajwa kusaidia hata kwenye mapishi
Spike the Beetle

Chanzo cha picha, SpikeTheBeetle

Maelezo ya picha, Mwenye mdudu huyu anaamini kuwa umaarufur wake utasaidia watu kuwapenda wadudu