Mamia wajitokeza kuwaokoa nyangumi waliokwama New Zealand

Mamia ya watu wamejitokeza kuwaokoa nyangumi karibu 100 waliokwama katika ufuo wa bahari New Zealand.