Mamia wajitokeza kuwaokoa nyangumi waliokwama New Zealand

Maelezo ya video, Mamia wajitokeza kuwaokoa nyangumi waliokwama New Zealand

Mamia ya watu wamejitokeza kuwaokoa nyangumi karibu 100 waliokwama katika ufuo wa bahari New Zealand.