Je unaepushaje unywaji wa pombe kupita kiasi Tanzania?

Haba na Haba wiki hii inazungumzia unywaji wa pombe kupita kiasi huku tukihoji kwa namna gani unawajibika kuepusha matumizi ya pombe kupita kiasi?