Je unaepushaje unywaji wa pombe kupita kiasi Tanzania?

Maelezo ya sauti, Kwa namna gani unawajibika kuepusha unywaji wa pombe kupita kiasi?

Haba na Haba wiki hii inazungumzia unywaji wa pombe kupita kiasi huku tukihoji kwa namna gani unawajibika kuepusha matumizi ya pombe kupita kiasi?