Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Magufuli: Sijazima demokrasia Tanzania
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya mahojiano ya kwanza na waandishi wa habari tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Wakati wa mkutano huo Magufuli alisema kuwa hajakandamiza demokrasia nchini humo.