Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wanatarajia mtoto wa pili
Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wamesema wanatarajia mtoto wa pili baadaye mwakani.
Msemaji wao amesema wawili hao wamejawa na furaha kwa ujio wa kaka au dada yake mdogo wa kifungua mimba wao Archie. Habari hii njema baada ya tangazo la mwaka uliopita kwa Meghan kuharibiwa kwa mimba.