Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wanatarajia mtoto wa pili

Maelezo ya sauti, Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wamesema wanatarajia mtoto wa pili baadaye mwakani

Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wamesema wanatarajia mtoto wa pili baadaye mwakani.

Msemaji wao amesema wawili hao wamejawa na furaha kwa ujio wa kaka au dada yake mdogo wa kifungua mimba wao Archie. Habari hii njema baada ya tangazo la mwaka uliopita kwa Meghan kuharibiwa kwa mimba.