Raia wa China kote duniani washerehekea mwaka mpya

Maelezo ya sauti, Raia wa China kote duniani washerehekea mwaka mpya

Wiki hii mamilioni ya Wachina wanasherehekea mwaka mpya.

Siku hii itaadhimishwa kote duniani.

Mwaka huu mpya wa china utaanza tarehe 12 mwezi wa Februari.