Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Apanda Ghrofa kwa kutumia gari la magurudumu
Mtazame Lai Chi-Wai kwenye tovuti ya BBC akipanda ghorofa moja mjini Hong Kong lililo na urefu wa mita 250 kwa kutumia Kamba huku akiwa kwenye gari lake la magurudumu ili kuchangisha pesa za watu walio na majiraha ya uti wa mgongo.Lai Chi-alipooza baada ya kupata ajali miaka 10 iliopita.