Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mbona Albamu mpya ya Ariana Grande haijasisimua wakosoaji?
Ariana Grande alizindua albamu yake mpya Ijumaa, na wakosoaji wengi wanaikosoa wakisema kuwa haina lolote lipya au tofauti kutoka kwa albamu zake za awali. Ingawa anaonekan akuwa anasherehekea uhusiano wake mpya na Dalton Gomez mashirika kadhaa, pamoja na The Evening Standard, Telegraph na The Independent, wameipa albamu hiyo nyota tatu.