Gari lisilo na dereva laweza kutambua taa za barabarani

Magari kutoka kwa kampuni ya Tesla yalio na uwezo wa kijiendesha nchini Marekani kwa sasa yanaweza kudhibiti mbio ya gari na pia kusimama maeneo yalio na mataa ya barabarani. Gari hili linaonekana kutii sheria zoti za barabarani. Je ungependa kumiliki gari aina hii?. Sema nasi kwenye yukurasa wa Facebook, BBCNewsSwahili