Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je, Twitter itaokoa programu ya video ya Tik Tok?
Twitter imetaka kufanya mazungumzo na mmiliki wa kampuni ya China ya Tik Tok na ByteDance kuelezea nia ya kununua shughuli zake za Marekani,. TikTok programu ya video imekuwa katikati ya mjadala mkali katika wiki za hivi karibuni baada ya Wiki iliyopita rais Trump kuagiza kampuni za Marekani ziache kufanya biashara na TikTok kabla ya siku 45 juu ya wasiwasi wa usalama.