Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wacahezaji wa Liverpool watetea mauwaji ya Floyd
Wachezaji wa Liverpool walipiga goti moja katika uwanja wa Anfield kutetea mauwaji ya mmarekani mweusi George Floyd aliuewawa na polisi huko Minneapolis Marekani. Picha iliyo na wachezaji hao 29 ilikua imeandikwa "Umoja ni nguvu. Na hashtagi ya #BlackLivesMatter".