Eliud Kipchoge azungumzia vitabu anavyosoma

Bingwa wa michezo ya Olimpiki nchini kenya Eliud Kipchoge amezungumzia vitabu anavyosoma akiwa nyumbani kwake huku akitekeleza maagizo ya kuto kukaribiana kufuatia kuenea kwa virusi vya corona