Cameroon yamuomboleza Manu Dibango

Mwanamuziki nguli aliyetamba kwa kucheza ala ya muziki ya saxafoni kutoka Cameroon Manu Dibango amefariki hii leo asubuhi baada ya kuugua ugonjwa wa virusi vya corona.

Manu alipata umaarufu mkubwa na kibao hiki cha Soul Makossa.