Mtoto wa kike asifiwa na polisi

Tembelea tovuti ya bbc umuone mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyesifiwa sana na polisi baada ya kupiga simu ya dharura ya 999,pale mama yake alipoanza kutapika na kuzirai wakati akiwa anaendesha gari.