Mtoto wa kike asifiwa na polisi

Maelezo ya sauti, Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka sita asifiwa na polisi

Tembelea tovuti ya bbc umuone mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyesifiwa sana na polisi baada ya kupiga simu ya dharura ya 999,pale mama yake alipoanza kutapika na kuzirai wakati akiwa anaendesha gari.