Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Matumizi ya plastiki kupigwa marufuku China
China, mojawapo ya nchi zilizo na matumizi makubwa Zaidi ya plastiki, imetangaza mpango maalum wakupunguza palstiki kote nchini humo. Plastiki zitapigwa marufuku kote nchini humo huku sekta ya viwanda na hoteli pia ikitakikana kupiga marufuku matumizi ya mirija kufikia mwaka wa 2020.