Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Alazimishwa kupima ujauzito na shirika la ndege
Shirika la ndege la Hong Kong Express limeomba radhi baada ya kumlazimisha abiria mmoja kupimwa iwapo ana mimba. Midori Nishida, alikuwa ansafiri kutoka Hong Kong hadi kisiwa cha Saipan. Wanawake wengi wanasemekana kuwa na mazoea ya kwenda kuzalia huko kama mbinu ya kupata uraia wa Marekani. Je shirika hilo lilifanya makosa? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wa Facebook, BBCswahili