Kwanini binadamu tunaipenda dhahabu?

Kwa nini tunaona dhahabu inapendeza sana? Mawazo ya BBC yaliangalia jinsi hisia zetu kwa madini hayo yanayong'aa zimeunda baadhi ya sura mbaya zaidi katika historia.