Kwanini binadamu tunaipenda dhahabu?

Maelezo ya video, Kwanini binadamu tunaipenda dhahabu?

Kwa nini tunaona dhahabu inapendeza sana? Mawazo ya BBC yaliangalia jinsi hisia zetu kwa madini hayo yanayong'aa zimeunda baadhi ya sura mbaya zaidi katika historia.