Virusi vya Corona: Je kusukutua mdomo na maji ya moto ni kinga ya virusi vya corona?

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa mtandaoni kuwa kusukutua mdomo na maji ya uvuguvugu yenye chumvi kunazuia maambukizi ya virusi vya corona, je hilo ni kweli ? Video hii fupi ya kukuelimisha ya BBC inakupatia jibu, itazame.

Video imeandaliwa na Eagan Salla.