Virusi vya Corona: Je kusukutua mdomo na maji ya moto ni kinga ya virusi vya corona?

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Je kusukutua mdomo kunazuiz virusi vya corona?

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa mtandaoni kuwa kusukutua mdomo na maji ya uvuguvugu yenye chumvi kunazuia maambukizi ya virusi vya corona, je hilo ni kweli ? Video hii fupi ya kukuelimisha ya BBC inakupatia jibu, itazame.

Video imeandaliwa na Eagan Salla.