Siri ya Wole Soyinka kupona saratani

Maelezo ya video, Siri ya Wole Soyinka kupona saratani

Mwandishi maarufu duniani, ambaye ni mshindi wa tuzo za Nobel Profesa Wole Soyinka alikutwa na saratani mwaka 2014. Sasa hali ya afya yake ni nzuri yaani hana saratani tena.

Na kitu kikubwa ambacho profesa huyo alikuwa akikizingatia ni kujitunza vizuri na hakuwa anafanya mazoezi ya kukimbia.