Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mary Love Edwards: ‘Serena Williams’ wa Nigeria mwenye matumaini makubwa katika tenisi
Mary Love Edwards ni dada raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 13 ambaye ni mchezaji stadi wa tenisi.
Amepewa jina la utani: ‘Serena wa Nigeria’ kwa sababu ya kucheza kwa kutumia nguvu nyingi.
Imekuwaje akafanikiwa katika tenisi?