Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wayne Rooney alivyofunga bao dhidi ya Gor Mahia
Wayne Rooney alifunga bao kutoka mbali mechi yake ya kwanza tangu aliporejea klabu ya Everton kutoka Manchester United.
Alifunga bao hilo mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia FC ya Kenya jijini Dar es Salaam, Tanzania.