Riyad Mahrez, nguzo Leicester City

Riyad Mahrez, nguzo Leicester City, ni mmoja wa wachezaji watano wanaoshindania Tuzo ya BBC ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka 2016.