Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Algeria wailaza Senegal kushinda ubingwa wa Afcon 2019
Timu ya taifa ya Algeria imeilaza Senegal katika fainali za kombe la Afcon mjini Cairo
Moja kwa moja
Mechi inamalizika na Algeria ndio mabingwa wa Afrika
Senegal imeshindwa kufunga lango la Algeria licha ya kumiliki mpira kwa miuda mrefu
Senegal wanapata mkwaju wa adhabu
Refa anaongeza dakika nne za ziada
Algeria 1-0 Senegal
dakika ya 89
Dakika za mwisho
Algeria inafanya mabadiliko mengine
Jinsi wachezaji wanavyohatarisha maisha yao
Algeria inafanya mabadiliko
Senegal wanafanya mabadiliko
Mashabiki wa Senegal wana imani hapa
Sarr apiga mkwaju mzito pale lakini unapaa juu ya goli
Algeria 1-0 Senegal
Iwapo Algeria itaibuka washindi basi itakuwa wameishinda Senegal kwa mara ya pili katika mashindano haya
Dakika 81
Iwapo Senegal wataendelea na mashambulizi haya basi tutasema mengine
Kocha Cisse haamini Senegal wananyimwa penalti
Senegal wanafanya mashambulizi kutoka kile kona hapa
Algeria 1-0 Senegal
Dakika ya 69
N'njeeeeeeeeeee Senegal wanakosa bao la wazi hapa
Takwimu za mechi
Refa wa video VAR anasema hakuna penalti
Penalti