Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je Malezi yanasaidia kujenga afya ya akili?
Je Malezi yanasaidia kujenga afya ya akili?
Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani linasema mtu mmoja kati ya watu wanne anachangamoto ya afya ya akili,Mazingira ambayo uhusisha malezi mabovu na migogoro ndani ya familia inatajwa kuwa chanzo cha matatizo ya Afya ya akili.
Ungana na Hannah Mbago na Noel Mwakalindile kufahamu zaidi kuhusu mada hii.