Tetemeko la ardhi la Syria-Uturuki:Kamera ya CCTV yanasa picha za tetemeko lilipotokea Uturuki na Syria

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 katika kipimo cha Richter limekumba Uturuki na Syria na kusababisha vifo vya watu wengi.

Picha za CCTV kutoka Siverek, Uturuki, zinaonyesha wakati tetemeko lilipotokea.