Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Fahamu mchakato unaofuata baada ya kuwasilishwa kwa kesi mahakama ya juu zaidi
Je nini kinafuata baada ya mgombea wa Muungano wa Azimio Raila Odinga kuwasilisha ombi la kupinga matokeo rasmi ya tume huru ya uchaguzi ya Kenya (IEBC) iliyomtangaza rais mteule William Ruto wa UDA Mshindi ?