Miaka 65 ya BBC Swahili: Aliyekuwa mkuu wa BBC Swahili Tido Mhando azungumza

Baada ya kuishi kwa viwango tajika barani Afrika,amekuwa Mwandishi nguli wa kupigiwa mfano na mtoa hamasa Kwa wengi wanaochipukia sasa Afrika mashariki. Tido Mhando ni Mwafrika wa kwanza kuongoza Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Amezungumza na mwandishi wa BBC Martha Saranga na Kwanza anasimulia safari yake hadi kufika hatua ya kuwa mkuu wa idhaa hiyo