Waridi wa BBC: Je Anne Strike ni nani?

Anne Wafula Strike, anatoa mfano wa ujasiri, kujitolea na dhamira ambayo ni imara na ambayo imekataa kuishi na maoni potofu kuhusu hali yake ya ulemavu wa kutoka kiunoni hadi miguuni.