Mwai Kibaki: Safari ya kisiasa ya kiongozi wa zamani wa Kenya

Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya.

Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013.