Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
“Natamani tupate mtu asiye muoga, alikuwa ukikosea anasema wazi”
Fundi huyo kwa jina Didas Kabantega anasema maisha yamebadilika mjini Chato tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.
Eagan Salla na taarifa zaidi