Urusi na Ukraine: Misimamo tofauti juu ya vita ya Ukraine Afrika, je mzozo unaiathiri vipi?

Huku mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yakizidi, nchi moja moja za Kiafrika zinatangaza msimamo wao kuhusu mzozo huo.

Wakati mataifa kama Ghana na Afrika Kusini yamelaani shambulizi hilo na kutoa wito wa amani, Jamhuri ya Afrika ya Kati, imeelezea kuunga mkono Urusi.

Afrika ina uhusiano mkubwa na pande mbili zinazozozana, je hali ikiendelea kuwa mbaya, ni nini hasa kiko hatarini kwa bara hilo?

Unaweza pia kusoma: