Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
‘Taka hizi zimetenganisha familia yangu’ - Jinsi ya kukabiliana na taka hatari Kampala
Katika mji mkuu wa Uganda , Kampala taka zote za kila siku hazikusanywi. Hili ni kutokana na uwezo mchache suala linalosababisha taka nyingi kusalia katika mji huo zikiwa hazijakusanywa, hali inayosababisha tatizo kubwa kwa wakazi. Lakini kundi moja la vijana wavumbuzi wamezindua programu ya simu ambayo inasaidia kutatua tatizo hilo.