Fahamu mambo mapya katika orodha ya wanawake 100 wa BBC

Wanawake 100 wa BBC 2021 ni makala zinazozinduliwa tarehe 7 Disemba kwa orodha ya wanawake wenye ushawishi na wenye wa kuigwa kutoka maeneo mbali mbali ya dunia. Mwaka huu tupiga hatua moja mbele na kuwataja nusu ya wanawake walio kwenye orodha hiyo kutoka Afghanistan. Endelea kuwa nasi kwa ufichuzi kamili wa orodha hii.