Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Khaby Lame: Siri ya mafaniko ya nyota huyu wa TikTok kutoka Senegal ni gani?
Nyota wa TikTok mzaliwa wa Senegal Khaby Lame ni maarufu sana mtandoni. Anajulikana kwa hadithi zake za kubadilisha "mtazamo wa maisha". Jinsi anavyowasilisha ujumbe wake ulimfanya kukua haraka na kupata umaarufu kimataifa.
Kijana huyu wa miaka 21 ameshirikiana na watu kama Naomi Campbell na Greta Thunberg, na anasadikiwa kuwa pili kwa maarufu zaidi katika mtandao wa TikTok. Lakini je alifikiaje ufanisi huu, na mashabiki wake wa Senegal wanafikiria nini hasa kumhusu na mashabiki wake wa Senegal wanafikiria nini hasa kumhusu?