Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Shindano la kumfananisha charlie chaplin lashindwa kumtambua Chaplin mwenyewe
Ufaransa kuandaa mashindano ya watu wanaofanana na mchekeshaji mahiri charlie chaplin , lakini cha ajabu chaplin aliposhiriki mashindano hayo aliibuka kuwa watatu.
Si bado una kumbumbuku za mchekeshaji mahiri kutoka ufaransa Charlie chaplin sasa bwana kuliandaliwa shindano la watu wanaofanana na mchekeshaji huyo nchini ufaransa.
Kizaa kizaa kilianza pale ambapo chalie chaplin mwenyewe alishiriki kwenye mashindano hayo bila majaji kujua lakini cha ajabu akaibuka wa tatu kwenye mashindano hayo .