Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Dontae Sharpe: 'Mapambano yangu ya miaka 26 kuthibitisha sina hatia'
Dontae Sharpe amepokelewa kwa vifijo na nderemo wakati akitoka gerezani akiwa mt uhuru miaka 26 baaada ya kuhukumiwa kwa mauji ambayo hakufanya.
Lakini kuthibitisha kuwa hana makosa ilikuwa hatua ya kwanza kuelekea uhuru wa kweli.
Sasa anajaribu kurejelea maisha ya kawaida – kwa kuwajibisha mamlaka- ambayo imekuwa ikimkwepa.