Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Fahamu maisha binafsi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
’Maisha yangu binafsi kwasasa ni kama asilimia 15 , nyingine yote inabebwa na serikali’
Katika mahojiano maalum na BBC Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza upande wake wa Maisha binafsi na kiasi gani Maisha hayo yamebadilika tangu ashike madaraka.