Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
‘Kwanza kazi ifanyike ya 2025 aachiwe Mungu’ Rais Samia
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Watanzania wamekubali tozo lakini jambo linalolalamikiwa ni kiasi kinachokatwa.
Katika Mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC Salim Kikeke Rais Samia amesisitiza kuwa tozo hizo ni kwaajili ya maendeleo ya wananchi.
Kuhusu kugombea tena urais mwaka 2025, amesema kuwa ‘kwanza kazi ifanyike ya 2025 aachiwe Mungu’