Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Afisa wa polisi wa New York atumia mfuko wa viazi karai kuokoa maisha ya mtu aliyechomwa kisu
Afisa mmoja wa polisi mjini New York amepongezwa kwa kumsaidia muathiri wa kuchomwa na kisu kutoaga dunia, kwa kutumia mfuko wa viazi karai na Kamba.
Afisa Ronald Kennedy wa NYPD alitengeneza bandeji mbadala kufunga kidonga cha mtu huyo ili asivuje damu.