Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mbunifu wa mitindo anavyotengeza nguo kutokana taka za plastiki
Kutupata sote tukisafisha takataka zetu na kuchakata inaweza kuwa shida kubwa. Lakini, Elisha Ofori Bamfo, mbunifu wa mitindo nchini Ghana amepata suluhisho ambalo linaweza kusaidia. Yeye hutengeneza nguo kutoka kwa taka anazopata barabarani - ambazo anasema zinahitajika sana.