Kenneth Kaunda: Alikuwa ni mtu aliyeamini Waafrika katika kujitatulia matatizo yao

Maelezo ya sauti, ’Kaunda amekufa lakini fikra zake zitadumu’’

Katika enzi ya uhai wake, Kenneth Kaunda alionekana kuwa mtu aliyependa na kujivunia Uafrika na Waafrika kwa ujumla. Mmoja wa watu waliomfahamu na watakaoendelea kukumbuka falsafa zake ni Wakili na Mwanasheria wa Kenya Profesa PLO Lumumba. Akizungumza na mwandishi wa BBC Roncliff Odit amesema fikra za hayati Kenneth Kaunda zitadumu daima....